UTO Nyie wapumbavu sana... acheni kujifananisha na simba sio leval zenu.. sema tunatumia muda mwingi kujibishana na nyie kwa sababu ya ujirani wetu wa Kariakoo mjini vs jangwani mbugani.... la sivyo nyie ni kunguru tu!!Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.
Nashauri ijapo tumechelewa sana,ni bora kuwa wapole tu. Unless tunalenga kupata mapato tu.
Hizi mechi zenyewe utakuta hawa jamaa walishasajili wachawi wote maana timu ina tawi hadi gamboshi unatarajia nini?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Facts checking... Hebu nitajie Mambo matano ambayo simba yanayomfanya Simba asiwe level za yanga, au ndio ule wimbo wa tumefika robo fainal ya CAF?. Usipotaka basi wewe ni afande miraji wa zenji😅😅UTO Nyie wapumbavu sana... acheni kujifananisha na simba sio leval zenu.. sema tunatumia muda mwingi kujibishana na nyie kwa sababu ya ujirani wetu wa Kariakoo mjini vs jangwani mbugani.... la sivyo nyie ni kunguru tu!!
Nyie UTO tulieni, mshaingia kwenye mfumo tulieni dawa iwaingie.Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.