Wana-Simba tunaujua mchezo wa Injinia FEKI wa kutupoteza maboya, tumekushtukia na hatujai

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Simba Nguvu Moja!

Tunajua hii sinema ya MAHAKAMA imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwapoteza maboya timu ya SIMBA ili isi FOCUS na mambo yake muhimu na vile amejua simba ya sasa inaenda ama itaenda kua tishio kubwa sana nchini na afrika, injinia feki na kikundi chake wameamua kuleta propaganda kama walivyoleta prooaganda za aziz ki na kudanganya live kwenye vyombo vya habari kwamba aziz ki hajasaini kumbe ndio michezo na staili yake.

Inahitaji kujitoa akili kuamini Rais wa klabu mwanachama wa TFF ambaye ni mwanachama wa FIFA na CAF anaondolewa madarakani na mahakama ya kiraia.

Wambura alishinda kesi mahakamani na Wallace Karia akamlamba kifungo cha maisha.

Hatuwezi potezwa maboya kiasi hiko. Simba iko makini. Na msimu huu maji mtaita mma. Miaka mitano ubingwa mtausikia chooni.

#UbayaUbwela...

Tukutane uwanjani !
 
Mkuu, hadi mahakama inasoma hukumu unaita bado ni maboya? Ningekuelewa kama ungesema hakuna hukumu kama hiyo. By the way, Simba waingizwe maboya kwa ajili ya nini?
 
Hawa wanaweza fanya chochote ili tu kuihadaa simba ama kuvuruga malengo.ya simba. Umesahau muvi ya aziz ki? Mara mobeto,
Saivi wamekuja na hili, kumbe lengo lao ni kuzindua jezi zao mbovu.
Malengo ya Simba yanavurugwaje na hili sakata, mbona mnawaza kama watoto mtu mzima mwenye akili timamu huwezi kua na mawazo kama haya
 
Kama anaweza kuiingia mpaka mahakama inakasikiliza kesi na kuamua kumbe propaganda, basi hiyo mtu ni hatari
 
Malengo ya Simba yanavurugwaje na hili sakata, mbona mnawaza kama watoto mtu mzima mwenye akili timamu huwezi kua na mawazo kama haya
Atoe wapi hiyo akili ya kujua hayo. Kwamba menejimenti ya Simba imeacha kufanya kazi inafuatilia propaganda za Uto
 
Simba Nguvu Moja!

Tunajua hii sinema ya MAHAKAMA imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwapoteza maboya timu ya SIMBA ili isi FOCUS na mambo yake muhimu na vile amejua simba ya sasa inaenda ama itaenda kua tishio kubwa sana nchini na afrika, injinia feki na kikundi chake wameamua kuleta propaganda kama walivyoleta prooaganda za aziz ki na kudanganya live kwenye vyombo vya habari kwamba aziz ki hajasaini kumbe ndio michezo na staili yake.

Inahitaji kujitoa akili kuamini Rais wa klabu mwanachama wa TFF ambaye ni mwanachama wa FIFA na CAF anaondolewa madarakani na mahakama ya kiraia.

Wambura alishinda kesi mahakamani na Wallace Karia akamlamba kifungo cha maisha.

Hatuwezi potezwa maboya kiasi hiko. Simba iko makini. Na msimu huu maji mtaita mma. Miaka mitano ubingwa mtausikia chooni.

#UbayaUbwela...

Tukutane uwanjani !
Mawazo ya kijinga kabisa haya.
Yaani viongozi wa Yanga wakae kupoteza muda kwa mambo ya kijinga kama hayo?
 
Back
Top Bottom