MUFINDI BOY JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 241 Reaction score 59 Mar 17, 2014 #1 Kwa wenyeji wa sumbawanga vijijini naomba kujua shule gani za sekondari zipo katika mazingira magumu sana na zipi zipo mazingira mazuri.
Kwa wenyeji wa sumbawanga vijijini naomba kujua shule gani za sekondari zipo katika mazingira magumu sana na zipi zipo mazingira mazuri.
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 13,277 Reaction score 40,924 Mar 17, 2014 #2 Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.