Wana Ubaya Ubwela wenzangu: tujiandae kwa ajili ya ubaya ubwela dhidi ya Al Ahly Tripol mechi ya nyumbani.

Kiungopunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2023
Posts
1,349
Reaction score
3,145
Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe Jembe aliyekuwepo kule Libya zikiomedha namna gani waarabu walitufanyia vurugu na kupelekea majeruhi lakini pia timu kutolewa kwa msaada wa Polisi.

Hawa waarabu wamekuwa ni watu wa tabia hii miaka na miaka na shirikisho la soka Africa limekuwa likiwachekea.

Kwa kuwa wana mechi nyumbani kwetu, sisi kama wwna ubaya ubwela tunatakiwa tuishi na tuidhihirishe kauli mbiu yetu ya Unaya ubwela pale Lupaso.

Tunatakiwa nasi tuwafanyie ubaya kama walivyotufanyia. Sisi kama wana Lunyasi, kuanzia leo tuanze kuhamasishana simu ya mechi twende kwa wingi tukiwa tumejiandaa kwa kubeba chupa za maji na hata chupa za soda. Nasi tunatakiwa tuwajeruhi wachezaji wao.

Mashabiki wao watakaosafiri na timu, nao tunatakiwa tuwapige ili wawe na heshima.

Wana ubaya ubwela, twendeni lupasa kwa wingi tukafanye ubaya ubwela. Tumekuwa tukilia na kulalamika miaka na miaka kuhusu huu uhuni wa waarabu. Nao wanatakiwa walie na kulalamika kwani ni zamu yao.
1726457986309.jpg
 
Ubaya ubwela mnauweza? Watanzania ni wastaarabu na wakarimu by nature! Wewe usipowapokea waarabu waswahili wenzetu wa misikitini watawapokea! Kama hujazoea kunya barabarani huwezi Tu hata iwe vipi! Mi ni muislam WA Kwanza kuwachukia waarabu wanajifanyaga Wana hati miliki Sana na mpira wa Afrika na vibaraka wao akina Motsepe
 
Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe Jembe aliyekuwepo kule Libya zikiomedha namna gani waarabu walitufanyia vurugu na kupelekea majeruhi lakini pia timu kutolewa kwa msaada wa Polisi.

Hawa waarabu wamekuwa ni watu wa tabia hii miaka na miaka na shirikisho la soka Africa limekuwa likiwachekea.

Kwa kuwa wana mechi nyumbani kwetu, sisi kama wwna ubaya ubwela tunatakiwa tuishi na tuidhihirishe kauli mbiu yetu ya Unaya ubwela pale Lupaso.

Tunatakiwa nasi tuwafanyie ubaya kama walivyotufanyia. Sisi kama wana Lunyasi, kuanzia leo tuanze kuhamasishana simu ya mechi twende kwa wingi tukiwa tumejiandaa kwa kubeba chupa za maji na hata chupa za soda. Nasi tunatakiwa tuwajeruhi wachezaji wao.

Mashabiki wao watakaosafiri na timu, nao tunatakiwa tuwapige ili wawe na heshima.

Wana ubaya ubwela, twendeni lupasa kwa wingi tukafanye ubaya ubwela. Tumekuwa tukilia na kulalamika miaka na miaka kuhusu huu uhuni wa waarabu. Nao wanatakiwa walie na kulalamika kwani ni zamu yao.View attachment 3097045
Akili gani hii.
 
Sihafiki kuwajeruhi kwa kuwatupia chupa za soda, hao ni kuwaonyesha Ubaya Ubwela kwa kuwachapa bao 5 kisha kuwatupia mikojo kwenye vifungashio vya nylon.
 
Waarabu si binadamu ni wanyama walipaswa vizazi vyao vifutwe kwenye uso wa dunia. Wana chuki na roho mbaya sana.
 
Kwa mkapa hamtakuwa wenyewe tu ata sisi mashabiki kindaki ndaki wa Wananchi tutakuwepo kuwa support ndugu zetu wa maana sana AAT. Tutawaonyesha na milango ya emergency.
 
Tunawatandika bakora vyura nyie.
 
Ila atmosphere ya uwanja Jana ilikuwa mbaya sana nawaza Simba wangepata goli hata Moja hali ingekuwaje
Al Masry kule Benghazi waliamua kuachia isiwe tabu wataenda kumaliza kazi Cairo
Hapa tz naungana na Simba na uwanjani nitaenda ni kuhakikisha mnawapiga hata 4 ili kuweka heshima
No wonder biashara waliuza mechi
 
Back
Top Bottom