Msaada wenu jamani! Naombeni mnisaidie COURSE OUTLINE YA EN 200. Nipo kwenye hali ngumu sijui A wala Ba jinsi gani nita-clear hiki kimeo pia naombeni mnisaidie jinsi ya kupata material ya hii course! Natumai mtanisaidia,mnaoingia third year mnajua tulivyo isoma kimagumashi! MSAADA PLZ!