Wana udom msaada tafadhali

Wana udom msaada tafadhali

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
Je ndugu zangu kwa wale waliopungukiwa na pesa ya direct cost ni kweli no rejistration?
 
Hiki chuo ni cha c c m nilisikia kada mmoja anawadanganya wananchi kuwa c c m ndio imejenga chuo hichi wakati pesa zilizo 2mika ni za walala hoi
 
Hiki chuo ni cha c c m nilisikia kada mmoja anawadanganya wananchi kuwa c c m ndio imejenga chuo hichi wakati pesa zilizo 2mika ni za walala hoi

mbona mkuu hujajibu?ccm na registration wapi na wapi.naitaji kamsaada pls
 
Back
Top Bottom