wana udom naomben mnisaidie haraka

wana udom naomben mnisaidie haraka

Eselo

Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
41
Reaction score
9
naomba mniambie kwa hawa wa first year izi direct cost tunazolipa,,hata kama una card ya bima lazima ulipe tena medical capitation fee,,,,na udoso tunalipaje,,naomba msaada naelekea bank kulipa,,thanks
 
Meical capitation Lipa tu, hapo UDOM pana Hospital na gharama zake, hizo Bima zina mahala pake jm utahamishiwa Hospital za Mkoa au za Rufaa
UDOSO naona km ni Chama chenu wanafunzi hicho changia na ugombee uongozi usijitenge kinawatetea
 
naombeni ac ya udoso niweze kulipa jamni na ni sh ngapi,,,nipo bank now
 
Back
Top Bottom