naomba mniambie kwa hawa wa first year izi direct cost tunazolipa,,hata kama una card ya bima lazima ulipe tena medical capitation fee,,,,na udoso tunalipaje,,naomba msaada naelekea bank kulipa,,thanks
Meical capitation Lipa tu, hapo UDOM pana Hospital na gharama zake, hizo Bima zina mahala pake jm utahamishiwa Hospital za Mkoa au za Rufaa
UDOSO naona km ni Chama chenu wanafunzi hicho changia na ugombee uongozi usijitenge kinawatetea