Mimi nimechaguliwa duce BSc with education lakini nilitumia equivalent nimefika hapa nimeambiwa nichague kozi za arts nami nimeridhia nimeandika barua kuomba kupangiwa BAED(GEOG&PS) Vipi hii process ya kubadili haitanisumbua mkopo wangu je coz nilipata 100% itakuaje hiyo then wakati nasubiri majibu nifanyeje coz nahang tu