Wana Udsm mgodi wa Pale ARIS Unatema Leo

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Leo ndo siku muafaka kwa kujua kua una supu ngapi,misonge mingapi ama makarai flat.Ni kuomba isije ikawa kama form4.Utakachopata ndo haki yako wala usapeal au mnasemaje wadau
 
Sio leo,ni next monday mkuu.
 
Perry kwa Muce Tangazo limetoka sie Leo
 
ah!!! hiyo nayo nzuri sana...! UDSM nawaaminia vijana hawana pressure, washazoea mambo magumu magumu na maisha ya stress..!
 
Hapa muce mida ya hatar muda wowote tangazo linaonyesha tareh 4/3 ndyo mpango mzma!
 
Hadi saa tatu usku huu bado hapa MUCE
 
COET wamebandikiwa jion hii,naona vijana wengi wa civil engineering wengi wao gpa zao ni zile za kwenda kuombea kazi halmashauri.
 
MC Tayari.ama bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…