mkuu sidhani km tunaelewana,km una source please iweke,mie niliquote tu,na nilivyoelewa katika waathirika wa HIV nusu ni vijana in 20's,na group linguine lina make another 50%(watoto,na watu wazima/wazee)....please km niko wrong clarify,sitaki kumislead people.