Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Rubbish, matrilioni ya CRDB yaliifikisha wapi Vunjo?Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapemaView attachment 1611175
Unajua kwanini Magufuli hakumfanyia kampeni yeye pamoja na Mkenda?Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapemaView attachment 1611175
hakuwahi kugombea hakuona umaana wa kuhodhi vyeo viwili sasa ni wakati muafaka aje huku atutumikie wana vunjo ulitaka mahela ya benki kama taasisi ayalete vunjo which and whichRu
Rubbish, matrilioni ya CRDB yaliifikisha wapi Vunjo?
Kama alishindwa kutumia matrilioni ya CRDB, lawfully kuwaendeleza wana Vunjo, huku kwenye ubunge hela atazitoa wapi?hakuwahi kugombea hakuona umaana wa kuhodhi vyeo viwili sasa ni wakati muafaka aje huku atutumikie wana vunjo
the man is accepteble at vunjo na kama angekuwa hampendi angemkata tu kama alivyomkata CHENGE amefanya kampeni kwa mbowe penye strong resistanceUnajua kwanini Magufuli hakumfanyia kampeni yeye pamoja na Mkenda?
Uongo aliwanadi mbona na clip zipo kibao nenda youtubeUnajua kwanini Magufuli hakumfanyia kampeni yeye pamoja na Mkenda?
Nasikia leo akimaliza pale Babati mjini ndiyo imeisha hivyo. Huyu mzee wenu ni ameisha na alitakiwa ajiondoe tu ili kuepuka aibu! Mara uwekewe lifeni mara ukodiwe Chopa ambayo umeshindwa kuitumia. Dah!Uongo aliwanadi mbona na clip zipo kibao nenda youtube
Chopa inatumika kwenda vijijini wanaitumia Majaliwa na mama Samia Suluhu HassanNasikia leo akimaliza pale Babati mjini ndiyo imeisha hivyo. Huyu mzee wenu ni ameisha na alitakiwa ajiondoe tu ili kuepuka aibu! Mara uwekewe lifeni mara ukodiwe Chopa ambayo umeshindwa kuitumia. Dah!
Mshirikina hawezi kuwa mbunge wa Vunjo.Kura yangu kwa kimei
Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapema.
View attachment 1611175
UlimtambuajeMshirikina hawezi kuwa mbunge wa Vunjo.