Wana WCB.... nisaidieni hapa SIMBAA alikua akipafom wapi!?? Picha zinatrend tu ..ila sjajua ... Pls help.

Hii show ya jana, Ntwara.
 
Haahahaaa...

Usiku mwema..
Good night brother .. It was a day ..that he introduced his album " a boy from tandale " I think you have understood me although I have used unjusticable and mandiated language .. ALAMSIKI
 
Mpaka sasa sijapata jibu...

Na nimemcheki Mondi pesonalii...kama ya akina p skwea...ameniambiaaa......

...mmotooooo...xuuunnnn
 
Watu wamemuona Anacheza ndondo cup tandika mabatini .. huyu bwana ameamua kuua kipaji chake kijinga kbs... yaani mpaka anaboa..ipo siku atakuja kuwatafuta kwa tochi hawa mashabiki waliojitoa ku support hata nyimbo zake mbovu!!! muda utaongea
Na uwanja wake mwingine ni Tabata shule,huyu jamaa kwisha habari yake,huwezi kuwa superstar halafu ucheze ndondo moja na Juma Nyosso,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…