Wana Yanga hii kauli ya wala mhogo naomba tuikubali

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hii kauli hii ya wala mihogo watani zetu wameileta kama kejeli sisi tugeuze kuwa brand. Unajua kuna kauli zingine zinakuja na bahati yake, kama hii kauli ya wala mihogo naona ni kauli moja ya kibabe sana, tena kauli dume zaidi ya zile kauli sijui 'return of champions', sijui 'byuti byuti', 'iwe mvua au jua', sijui 'mbamba', kauli za kike zote hizi.

Ila tukitumia hii kauli ya wala mihogo na wapinzani wetu ndiyo mashamba ya mhogo basi sisi ni wala mihogo. Kwa hiyo wana Yanga wenzangu hakikisha una jembe lako, kisu pamoja na karanga kuna shamba la mhogo uko Tunisia.

Ni lazima muhogo uliwe uko Tunisia.


Sisi ndo wala mihogo
View attachment 2406182
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…