Wana Yanga, kauli ya Zittokabwe hiyo hapo na nyie TFF mnafeli wapi?

Wana Yanga, kauli ya Zittokabwe hiyo hapo na nyie TFF mnafeli wapi?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
FB_IMG_16778373049296451.jpg
 
Zitto yuko sahihi!!

Ndoto za vijana wengi zimeharibika kwa ajili ya misukosuko kama hii kutoka TFF na club za soka za nyumbani.

Mwisho wake prime time window ya mchezaji inapita na opportunities anazikosa anabaki kucheza ndondo uwanja wa Tototundu!

Wachezaji wapewe nafasi, haki na elimu juu ya haki Yao katika kuendeleza vipaji vyao na kuvitumia!

Wachezaji wenyewe sasa!! Basi tu!
 
Back
Top Bottom