Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe…..
…..waeleza sababu wakisema hakuna wa kuwazuia kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, wasema “ushindani uliobaki sasa ni ligi ya mabingwa”
Kutoka Kigage Kinyanguruwe Kasulu Kigoma, Jacob Ruvilo anaripoti
#YangaKasulu #YangaSC
Je hii Ina maana Gani ....au ni time travel