Ni nia nzuri ya kurekebisha strain za maishaWana Yanga kigoma wafanya sherehe za ubingwa msimu ujao 2024/2025
Wamegoma kununua jezi mpya?“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe…..
…..waeleza sababu wakisema hakuna wa kuwazuia kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, wasema “ushindani uliobaki sasa ni ligi ya mabingwa”
Kutoka Kigage Kinyanguruwe Kasulu Kigoma, Jacob Ruvilo anaripoti
#YangaKasulu #YangaSC
Je hii Ina maana Gani ....au ni time travel View attachment 3063474
Mtaanza tafutana[emoji23][emoji23]sio Kwamba wanajiamini na kikosi
[emoji23][emoji23]sio Kwamba wanajiamini na kikosi
Bibie tafuta kazi ya kufanya au mume uolewe ili upate muda wa kuepuka kupost ujinga..“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe…..
…..waeleza sababu wakisema hakuna wa kuwazuia kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, wasema “ushindani uliobaki sasa ni ligi ya mabingwa”
Kutoka Kigage Kinyanguruwe Kasulu Kigoma, Jacob Ruvilo anaripoti
#YangaKasulu #YangaSC
Je hii Ina maana Gani ....au ni time travel View attachment 3063474
Umesemaje hapo kaka?But football is a science.....that means it's predictable depending on your investigation done