ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Mambo ya kizamani hayo. Hivyo siungi mkono hoja. Mashabiki waende kuangalia mpira. Ila kuwashabikia Waarabu, it doesn't sound hata kama ni shabiki wa Yanga.Sisi Yanga tupo upande wa wanakijani wenzetu, na tutajaza uwanja Kwa kuvaa nguo zetu za kijani na tutasaport almasry.
Simba kashakufa mbili, mechi ya Kwa Mkapa anakufa moja, sisi wanayanga almasry tunahasira sana na wakimbia mechi
Hakuna wametuletea sana shidaMambo ya kizamani hayo. Hivyo siungi mkono hoja. Mashabiki waende kuangalia mpira. Ila kuwashabikia Waarabu, it doesn't sound hata kama ni shabiki wa Yanga.
Waacheni mashabiki wa Simba waishabikie timu yao, na waarabu wajione wako ugenini! Na siyo kwao.
Una furaha umeondoa ufukara kwenu kwa Simba kufungwa?Nina furaha sana leo, wakija washikilie bomba wawatoe hawa Simba.