GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna furaha ambayo mwana Simba SC yoyote anayo leo ukiachia mbali ile ya kuwa na Kikosi cha Mauaji ya Shalubela baada ya kufanya Usajili wa Kufa Mtu na ushindi murua kabisa wa leo wa Wanasimba wenzetu wa kutupwa kama siyo wa kugalagaza na kindakindaki Rais mpya wa TFF Wallace Karia na Makamu wake Michael Wambura.
Nakumbuka kabisa miaka minne iliyopita Wanasimba tuliteseka na kunyanyasika mno baada ya aliyekuwa Rais wa TFF Jamal E. Malinzi kusikika kila mara akisema tena kwa dharau na kutamba kabisa kuwa ndani ya Uongozi wake wa miaka minne ( 4 ) Klabu ya Simba isahau Ubingwa wa VPL na kwamba Yanga FC ndiyo itakuwa Bingwa kwa gharama zozote / yoyote na kweli ilikuwa hivyo japo kwa mwaka wake wa Kwanza Azam ilichukua Ubingwa.
Kama tunavyojua kuwa Mwenyezi Mungu siku zote huwa hamtupi mja wake na hatimaye leo huko Mkoani Dodoma katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF ) pamoja na Malinzi kupeleka taarifa zake kichinichini kwa Wajumbe huku akiwataka wamchague kati ya Madega na Mayai ili ule Uyanga ndani ya TFF uendelee haikuwa hivyo ambapo kwa msaada mkubwa mno wa Malaika wa Mungu waliopita ni wana Simba SC watupu tena ambao ni Wanachama hai kabisa Wallace Karia na Michael Wambura.
Na ndiyo maana hata baada tu ushindi ule akina Madega, Mayai, Mwakalebela na wana Yanga waliokuwepo pale Ukumbi wa Mtakatifu Gasper walipigwa na butwaa sana huku wakiwa wamenywea kabisa na kuanza kukaa katika Vikundi Vikundi wakilaumiana kwamba kwanini Mikakati yao imeshindikana huku wengine wakisikika wakisema kuwa na Wao Yanga FC sasa hii miaka minne ( 4 ) ya akina Karia na Wambura ni ya kuwa tu Wavumilivu kwani lazima tu na Simba nao watalipiza Visasi walivyokuwa wakifanyiwa na Malinzi.
Yaani hadi raha kwani unaambiwa........
Yaani kuna Watu miaka hii minne ( 4 ) ya akina Karia na Wambura watapigwa goli saba ( 7 ) tu kila tutakapokuwa tunakuana nao na kama haitoshi na Sisi Simba SC sasa tunataka tuweke rekodi ya Kuuchukua Ubingwa wa VPL kwa miaka yote hii minne ( 4 ) ambayo wana Simba SC wenzetu akina Wallace Karia na Michael Wambura watakuwepo Madarakani.
Tutaheshimiana tu Mungu mkubwa!!!!!!!

- Baba Magufuli ni Simba SC
- Mama Samia ni Simba SC
- Kaka Majaliwa ni Simba SC
- Spika wa Bunge la JMT Job Ndugai ni Simba SC
- Waziri wa Michezo Mwakyembe ni Simba SC
- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo hata TFF ilipo Paul Makonda ni Simba SC
- 80% ya Wajumbe wapya wa TFF waliochaguliwa leo ni Simba SC
- Mwenye dunia yake na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana ni Simba SC
- Malaika wote wa Mbinguni ni Simba SC
- GENTAMYCINE mwenyewe ni Simba SC
- 98% ya JamiiForums Members ni Simba SC
- Makomandoo wetu Tanzania wote ni Simba SC
- 75% ya Watanzania wote ni Simba SC
- 95% ya Matajiri wote nchini Tanzania ni Simba SC
- 99.9% ya Wanawake warembo wote nchini Tanzania ni Simba SC
- 100% ya Wasomi wote nchini Tanzania ni Simba SC
- Wanajeshi wote wanaofanya Mazoezi ya pamoja Tanga ni Simba SC
- Wanaume wote wenye nguvu za Kiume na Wanawake wasio Wagumba ni Simba SC
- 99% ya Wanafunzi wenye akili Shuleni na Vyuo Vikuu ni Simba SC