Wana Yanga msikate tamaa

Unaiona timu yako imekamilika kwa sababu ya vihongo hongo mnavyotoa kwa wapinzani.
Ila ina mapungufu mengi na inafungika kirahisi.

Nakubali tu kuwa mna washambuliaji bora kwa sasa.Ila hamna beki.
Udhaifu wa yanga una madhara makubwa kuliko wa Simba

Ibenge Kama kocha atakacho fanya Sudan ni kimoja tu kwa sababu yeye ana advantage atajaribu Kama kudefence ili yanga wajae kwenye 18 maana watatoka bongo Kama manyumbu wanajua wanaenda kupindua meza baaasi yataanza kushambulia Kama yanacheza na mbuni fc, palepale yanawekwa kingine mpira unaanza kuchezwa sasa kiufupi kule Sudan wakienda kwa mentality ya kushambulia bila kucheza kwa akili zile za Azam kwa wale walibya Jana ni goli chache
 
Kwa hiyo nyinyi mna uhakika mtaingia makundi siyo, na hiki kikosi chenu cha tia maji tia maji! Yaani timu inategemea hamasa kutoka kwa Juma Mgunda!! Halafu ifuzu, na Yanga iliyokamilika kila idara, ishindwe!!

Haya yatakuwa ni maajabu.

Mkuu tunatoboa amini ivyo hao waangola kwetu ni wepesi sana subiri leo uwone maajabu
 
hata Mimi natamani yanga wapite.wakipita Tanzania imepita.
Wakitolewaaa yanga wametolewaa
 
Kwa hiyo nyinyi mna uhakika mtaingia makundi siyo, na hiki kikosi chenu cha tia maji tia maji! Yaani timu inategemea hamasa kutoka kwa Juma Mgunda!! Halafu ifuzu, na Yanga iliyokamilika kila idara, ishindwe!!

Haya yatakuwa ni maajabu.
Jana mapema asubuhi nilitabiri kuwa utoporooo wakijitahidi sana basi wataambulia draw na kweli yakatimia😅😅...na elewa kuwa mkishatolewa Sudan itabidi mcheze tena na timu nyingine ili mfanikiwe kuingia makundi ya CAFConfederation 🤣🤣
 
Mwanathimba pekee anayeshabikiaga mpira kwa akili (ubongo) akiwa tofauti na MAKOLO wenziye wanaotesekaga na mahaba (moyo) [emoji106]
 
Hivi unajua kweli unachoongea wewe!?????[emoji23][emoji23][emoji23]unaongea kiutani ila yule ibenge ana roho mbaya sana,na kule sudan wakipata hata shoot on target sijui
On target yao yenyewe ilikuwa ni ya ndondokela baada ya beki kuanguka, vipi karata ya pili ikigeukia kuwa bahati kwa Yanga, au unadhani Mungu ni wa Al Hilal pekee [emoji848][emoji6]
 
Kumbe MAKOLO naye ni katoto ka NBC PL kwa kushushiwa kichapo mechi 3 zot kati ya 5 [emoji848]

Kweli kuwa MBUMBUMBU ni raha sana [emoji23]
 
So what!
 
Kosa la yanga maandalizi. Huwezi cheza na mbuni fc wakati unajiandaa na mechi za kimataifa
 
Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilidhe mfumo no na mbinu , wachezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…