kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Naona wengi wanamtupia lawama kocha, kiukweli kocha hana makosa, makosa yapo kwa wachezaji.
Kwa mfano goli kama alilojifunga Ally Sonzo utamlaumuje kocha!....mipira inafika kwa mastrika hawafungi unamlaumuje kocha!
Tukubali tu walioaminiwa kusajili baadhi ya wachezaji kama yule ndugu wa drogba sijui drogba wa kuzimu, wameiangusha yanga...huyu kocha ni bonge la kocha..apewe mda.
Sent using Jamii Forums mobile app