GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa Sisi wapenda Mchezo ( Watu wa Mpira ) wala hatuteseki, sasa tatizo kwa ile Mipenda Timu Kwanza na Mpira baadae. Unaumia kufungwa jana kwa Simba SC hadi kuwa na Usununu kwa kila Mtu utadhali Babaako na Hisa ndani ya Simba SC yetu. Na ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote hapa Leo anamjibu vibaya mwana Yanga SC kwakuwa tu jana Wametufunga tena? Mpira na Amani na Upendo sawa?
Utakuta kuna Lijitu leo Usikui limeshindwa hata Kumbandua Kunakotukuka Mkewe eti sababu ni Aziz K na Gwede jana. Mnajifanya na Uchungu na Simba SC halafu hata mkiitwa Kutumika kama Kafara la Kufa ili msaidie Timu ishinde mnakimbia na Kuzima hadi Simu na Kuwasakizia akina Try Again na Mangungu ndiyo Wakafe. Kwani na Wao haya Maisha matamu ya Taifa zuri la Mama Kizimkazi Paje hawayataki?
Tafadhali kama unajijua leo ujaenda Kusali Kanisani au Juzi Ijumaa Kuswali Msikitini tafadhali usichangie huu Uzi Ok?