GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na Kufurushwa mapema mno.