GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani Yanga SC tukikiri tu kuwa 'Mzigo Umekata' tutapungukiwa nini Mkuu?Ni Ufinyu Wa Muda Uliobaki Kabla Ya Siku Ya Wananchi Na Mechi Ya Hisani Dhidi Yenu Pamoja Na Wachezaji 7 Wa Yanga SC Kuitwa Timu Ya Taifa Kwa Ajili Ya Kujiaanda Na Mechi Za Kufuzu CHAN, Ndio Sababu Ya Yanga Kusitisha Kufanya Maandalizi Ya Msimu Ujao Nje Ya Nchi.
Mkuu Unaendaje Pre Season Nje Ya Nchi Huku Wachezaji Wako 7 Muhimu Hawapo?...Na Siku Watakayojiunga Na Timu Itakuwa Imebaki Wiki Moja Tu Sijui Af Mnarudi, Sasa Hayo Yatakuwa Maandalizi Gani?Kwani Yanga SC tukikiri tu kuwa 'Mzigo Umekata' tutapungukiwa nini Mkuu?
🚮Haiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na Kufurushwa mapema mno.
Hili neno huwa haliandikwi None Sense kwa kuliachanisha kama ulivyofanya bali huwa linaandikwa Nonsense Kiusahihi wake sawa?None sense
Wanayanga tumerizishwa na hizo kambi kwakuwa muda aukuwa rafiki, mechi ya mwisho tumecheza trh 2 mwezi huu, bado wachezaji waende likizo siku 15, bado wachezaji 8 wameitwa timu za taifa alafu hawa waliobaki warudi trh 16 wapande ndege waende kuweka kambi ya wiki moja na nusu inaingia akilini? Kwa mtu asiyekuwa na hesabu nzuri kichwani anaweza akafanya huo upuuzi lakini nawapa kongole viongozi kwa kuliona hilo, kambi sio mpaka usafiri nje ya nchi, kambi ya yanga pale Avic town inatosha Sana kufanya maandalizi kwakuwa inayo mahitaji yote ya muhimu ivyo akuna haja ya kuweka kambi za maonyesho yasiyokuwa na tijaHaiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na Kufurushwa mapema mno.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbonawewe colotunakujua yangaumehamilini
Huyuhata miminamushangaa yanisinarakusemaMbonawewe colotunakujua yangaumehamilini
Kwa taarifa yako, Simba ilikuwa inafanya unafiki kwa kuandika maneno Visit Tanzania wakati wao Simba hawataki kuonyesha mfano pesa zote wanapenda kuwanufaisha Matajiri wa nchi za Nje.Haiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na Kufurushwa mapema mno.
Sio kukosa hela ile ni timu inaweka bajeti sio maneno y mitandao ko kambi in popote mhimu sio kushindan kwenda njeHaiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na Kufurushwa mapema mno.
Umelikomesha hiloHili neno huwa haliandikwi None Sense kwa kuliachanisha kama ulivyofanya bali huwa linaandikwa Nonsense Kiusahihi wake sawa?
Juha Mkubwa Wewe mnajitutumua Kuandika Kiingereza wakati hamkijui na naturally nyie siyo Wordsmiths kama Wengine. Umejichoresha kweli kweli.
Kaharibu na kufuli kabisaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FUNGUO kawafungua kisawa sawa.