Wana Yanga tukutane hapa

Striker Mcongo aliyetua Jana usiku anaitwa nani
 
Bakongomani nyie hamuishiwi vituko, mara muandamane kama mpo kwenye mikutano ya siasa mara whatsup (na majezi yenu ya rangi ya vitenge utafikiri chama tawala ndo kimeanza kampeni za uchaguzi wa serikari za mitaa)
 
Piga kimya wewe mkia.
 
Nyie Yanga vp? Wimbo gani huo mliotunga kwa ajili ya timu yenu, utafikiri mko msibani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…