Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.😄😀
Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao maandazi wametishia kutoshirikiana nao kwa kile walichodai uonevu tena dhidi yao.
Ndugu yangu Eng. Hersi hivi sasa mambo yanaenda sawa subiri yaanze kupinda utajua haujui muda ni rafiki mzuri. Unafanya kazi na mazezeta, watasahau mazuri yako yote.