Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
sio ukichaa ni haki yao,azam ina mkataba wa maudhui na yanga,sasa haiwezekani azam hiyohiyo ikatoa maudhui ya kuikashifu yanga,ni kosa kubwa kabisaHii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.[emoji1][emoji3]
Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao maandazi wametishia kutoshirikiana nao kwa kile walichodai uonevu tena dhidi yao.
Ndugu yangu Eng. Hersi hivi sasa mambo yanaenda sawa subiri yaanze kupinda utajua haujui muda ni rafiki mzuri. Unafanya kazi na mazezeta, watasahau mazuri yako yote.
View attachment 2961267
Kumbe we nae huna akili kiasi hiki!?Mazuzu FC
Ndo umesoma comment yangu kwa mara ya kwanza au??Kumbe we nae huna akili kiasi hiki!?
Vichaa walioko kwenu ni zaidi ya hao unaiwasema, Kama mliletewa manzoki kwenye uchaguzi na mkapiga makofi si ni zaidi ya vichaa!!!Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.ππ
Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao maandazi wametishia kutoshirikiana nao kwa kile walichodai uonevu tena dhidi yao.
Ndugu yangu Eng. Hersi hivi sasa mambo yanaenda sawa subiri yaanze kupinda utajua haujui muda ni rafiki mzuri. Unafanya kazi na mazezeta, watasahau mazuri yako yote.
View attachment 2961267
Nyinyi msimu kwenu umeisha ni bora mjikite kwenye haya mambo ya kijinga jinga muda uende msubiri Simba day baada ya hapo back to the default settingsAiseee Mayele amewachana Amphibians, eti "Umepewa 10,000 kwa mjomba, kiingilio chenyewe bure, unavunja geti na kuingia kuangalia mechi. Halafu baada ya mechi unavimba eti 'timu yetu bhana,tumelipa kiingilio na kutumia nauli zetu kuja kuiona timu yetu'....".
Wewe Bibi si utulie usha sema umejitoa kushangilia mpiraWametoka kwa MAMELODY.
Wakagombana na CUF.
Wakagombana na MAYELE.
wakagombana na AZAM.
Leo wanagombana na TFF.
Kama ambavyo mazezeta ya mbumbumbu fc aka madunduka yanavyolalamikia uongozi wao na mfadhili wao!!Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.ππ