Wanaacha kuuliza kwanini Sawadogo na Okwa wamecheza mechi mbili msimu mzima!

Kama Mesi aliomba kuondoka PSG. Raheem Sterling aliomba kuondoka Mancity timu tajiri, cha ajabu nini kwa kina Bangala.
Sasa kama Kalvin Phillips Donny Van da baek walicheza mechi dk 3 3 ajabu ya okwa ni ipi?
 
Ngoja tuhoji kwanini Bangala Mayele Lomalisa na Juma Shabani wanaomba kuondoka
Na JiiEsiEmu pia ameshapewa thank you, huku Albati Bashite anarudi kuwa RC wa Mzizima. Na bakuli linarudi tena.
Haya basi Makolodundukaz furahini mnenepe maana ndio mnayopenda kuyasikia haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…