FCR
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 213
- 177
Mimi nimenunua kiwanja kikiwa hakina alama yoyote ya kaburi na baada ya kununua ndugu wa yule aliyenuzia anakuja ananiambia kwamba hapa kwenye kiwanja Changu Kuna kaburi na baada ya kuniambia anajengelea hiyo kaburi vizuri bila ruhusa yangu mimi mnunuzi na baada ya kujenga Mimi nimevunja hiyo kaburi bila kuhusisha uongozi wowote je kwa hali hiyo Mimi hapa nimetenda kosa au sijatenda kosa?maana naona msalaba was marehemu umechukuliwa na ndugu wa marehemu sijajua huko wanaenda kufanya nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app