Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.
Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia kwenye mitandao mpaka kwenye majukwaa. Mumeumbuka mchana peupe peeeee!
Silinde alipokuwa kwetu alikuwa Silinde kweli kweli, kaenda CCM kawa "Silindege" kipaji chote chali! Kule Kilombero habari mnazo. Mwanza na Mara mnaona wenyewe. Hapa Dar ndiyo kabisaaa.
Mbaya zaidi mnamchukua mtu leo, kesho anasahaulika hata jimboni kwake. Mliegemea siasa za hovyo hovyo yamewashuka sasa.
Tukutane Oktoba tunyoane kweli kweli majukwaani! Upinzani wa mwaka huu haijawahi kutokea Tanzania! Ni hoja baada ya hoja! Na mbaya zaidi tumejipanga kila idara. Msitegemee tena sisi kulia lia.
Sisi tulipokuwa tunafanya Chadema ni msingi, nyie mpo bize kufanya utopolo. Mkatumia vyombo vyote kujinadi lakini wapi. Hamuuziki na mbaya zaidi unyama wenu hadharani peupee! Njooni na hizo hoja zenu nyepesi sijui za ndege, stigilaz, sijui standard geji, na sasa kuna nyingine ya uchumi wa kati tutazivunja vunja mapema tu. Haina kuogopa polisi wala nani.
Bila kumsahau game changer, yupo Ubelgiji anamalizia mapaja ya kuku. Safari hii jiwe ajiandae.Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.
Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia kwenye mitandao mpaka kwenye majukwaa. Mumeumbuka mchana peupe peeeee!
Silinde alipokuwa kwetu alikuwa Silinde kweli kweli, kaenda CCM kawa "Silindege" kipaji chote chali! Kule Kilombero habari mnazo. Mwanza na Mara mnaona wenyewe. Hapa Dar ndiyo kabisaaa.
Mbaya zaidi mnamchukua mtu leo, kesho anasahaulika hata jimboni kwake. Mliegemea siasa za hovyo hovyo yamewashuka sasa.
Tukutane Oktoba tunyoane kweli kweli majukwaani! Upinzani wa mwaka huu haijawahi kutokea Tanzania! Ni hoja baada ya hoja! Na mbaya zaidi tumejipanga kila idara. Msitegemee tena sisi kulia lia.
Sisi tulipokuwa tunafanya Chadema ni msingi, nyie mpo bize kufanya utopolo. Mkatumia vyombo vyote kujinadi lakini wapi. Hamuuziki na mbaya zaidi unyama wenu hadharani peupee! Njooni na hizo hoja zenu nyepesi sijui za ndege, stigilaz, sijui standard geji, na sasa kuna nyingine ya uchumi wa kati tutazivunja vunja mapema tu. Haina kuogopa polisi wala nani.
Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.
Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia kwenye mitandao mpaka kwenye majukwaa. Mumeumbuka mchana peupe peeeee!
Silinde alipokuwa kwetu alikuwa Silinde kweli kweli, kaenda CCM kawa "Silindege" kipaji chote chali! Kule Kilombero habari mnazo. Mwanza na Mara mnaona wenyewe. Hapa Dar ndiyo kabisaaa.
Mbaya zaidi mnamchukua mtu leo, kesho anasahaulika hata jimboni kwake. Mliegemea siasa za hovyo hovyo yamewashuka sasa.
Tukutane Oktoba tunyoane kweli kweli majukwaani! Upinzani wa mwaka huu haijawahi kutokea Tanzania! Ni hoja baada ya hoja! Na mbaya zaidi tumejipanga kila idara. Msitegemee tena sisi kulia lia.
Sisi tulipokuwa tunafanya Chadema ni msingi, nyie mpo bize kufanya utopolo. Mkatumia vyombo vyote kujinadi lakini wapi. Hamuuziki na mbaya zaidi unyama wenu hadharani peupee! Njooni na hizo hoja zenu nyepesi sijui za ndege, stigilaz, sijui standard geji, na sasa kuna nyingine ya uchumi wa kati tutazivunja vunja mapema tu. Haina kuogopa polisi wala nani.
G Sam hivi yakitokea (na definitely yatatokea) ya uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ina strategy gani kuyakabili?Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.
Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia kwenye mitandao mpaka kwenye majukwaa. Mumeumbuka mchana peupe peeeee!
Silinde alipokuwa kwetu alikuwa Silinde kweli kweli, kaenda CCM kawa "Silindege" kipaji chote chali! Kule Kilombero habari mnazo. Mwanza na Mara mnaona wenyewe. Hapa Dar ndiyo kabisaaa.
Mbaya zaidi mnamchukua mtu leo, kesho anasahaulika hata jimboni kwake. Mliegemea siasa za hovyo hovyo yamewashuka sasa.
Tukutane Oktoba tunyoane kweli kweli majukwaani! Upinzani wa mwaka huu haijawahi kutokea Tanzania! Ni hoja baada ya hoja! Na mbaya zaidi tumejipanga kila idara. Msitegemee tena sisi kulia lia.
Sisi tulipokuwa tunafanya Chadema ni msingi, nyie mpo bize kufanya utopolo. Mkatumia vyombo vyote kujinadi lakini wapi. Hamuuziki na mbaya zaidi unyama wenu hadharani peupee! Njooni na hizo hoja zenu nyepesi sijui za ndege, stigilaz, sijui standard geji, na sasa kuna nyingine ya uchumi wa kati tutazivunja vunja mapema tu. Haina kuogopa polisi wala nani.
CCM haijui ipambane na nani , mbowe , Lissu au watia nia ?Umewanyoosha vizuri kwa andiko murua kabisa, wamepoteza pesa za walipa kodi bure bendera ya Chadema bado inapepea, na itaendelea kupepea.
sasa sisi tuna haja gani ya kua na kiherehere, nyie ndio.mmechanganyikiwa , mara lissu, mara nyalandu, mara membe, mara mbowe, shuhulikeni na huo mchanganyiko wenu ndio mje kwetuCCM haijui ipambane na nani , mbowe , Lissu au watia nia ?
Kwa kukua mtatumia mbeleko hiiNinachojua baada ya October,Threads nyingi humu zitakuwa za kulalamikia NEC,Polisi na wakurugenzi.
CHADEMA haina POLISI, TAKUKURU wala TISS, ila ina watu waTZ. Lazima tuelewane mwaka huu.Umewanyoosha vizuri kwa andiko murua kabisa, wamepoteza pesa za walipa kodi bure bendera ya Chadema bado inapepea, na itaendelea kupepea.
Ndo maana nashangaa hizi porojo mnazotuletea humu ilhali mnaijua hali halisi.Kwa kukua mtatumia mbeleko hii View attachment 1498863
Baada ya oktiba haka ka katuni mtakatumia sana,Kwa kukua mtatumia mbeleko hii View attachment 1498863