Wanaccm mmejifunza nini kwa CHADEMA? Hii ndiyo maana ya "CHADEMA ni msingi"

Baada ya oktiba haka ka katuni mtakatumia sana,
Na inavyoonekana chadema wengi mmshakataa tamaa ya ushindi sasa ili kujifariji mnatumia kichaka cha tume huru na polisi kuwabeba ccm ili kujificha humo.
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
 
Tuta review baada ya uchaguzi kama bado ni imara.
 
Stieglers Gorge, SGR, Uchumi wa Kati na Tanzania kununua Ndege zake ni hoja kubwa sana Afrika na Duniani, ila kwako wewe ni hoja nyepesi. Halafu unasema sasa hivi CDM mna vijana wajenga hoja. Hoja zenyewe ndo hizi za kichizi chizi.
 
CHADEMA haina POLISI, TAKUKURU wala TISS, ila ina watu waTZ. Lazima tuelewane mwaka huu.
We shall overcome. AMEN
Hiyo CDM pia haijajenga SGR, kununua ndege, kuleta mradi wa Umeme, Majimbo waliyopewa na wananchi hayana maendeleo ukiwauliza wanasema CCM. Ofisi yao ya chama tu imewashinda kujenga pamoja na ruzuku wanayopata, lakini ndo ina watu wajinga na wapumbavu kuliko chama chochote cha siasa.
 
Hujui walio chukuliwa wote wameenda na majimbo yao Sasa subir uchaguz upite ndio utaelewa ccm ilimaanisha nn
 
CHADEMA Ni mpango wa Mungu,

Mungu ibariki CHADEMA, ukombozi wa kweli unakuja Tanzania
 
G Sam hivi yakitokea (na definitely yatatokea) ya uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ina strategy gani kuyakabili?
Siyo CHADEMA ina strategy gani kuyakabili, Ni Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao tutachukua hatua gani!

Ni suala la muda tu wakijaribu kufanya hujuma yoyote kwa vile wanafikiri wana ubavu watazipata salamu zetu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…