jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wapo wana CCM walioamua kuichafua CCM Mwaka 2015 kisa ni maslahi yao binafsi (sio kufuta upepo wa Lowassa) yaani waliamua kufanya fitina ili CCM ianguke ingawa CCM haikunga ili survive ..ilipambana na baada ya hapo wana CCM hawa wakarejea kinafiki ndani ya CCM na kuanza tena tabia zao chafu za kuendekeza majungu,uongo,ulaghai ,kujenga mitandao na kutoa rushwa hasa nyakati hizi za uchaguzi...
Waraka huu utumike kuwaeleza kuwa kamwe hawatatoboa na CCM itashinda kwa kishindo kikuu.
Tutawaumbua na tutawadhibiti vilivyo
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Waraka huu utumike kuwaeleza kuwa kamwe hawatatoboa na CCM itashinda kwa kishindo kikuu.
Tutawaumbua na tutawadhibiti vilivyo
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!