MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Oct 4, 2010 #1 Mi naamini mlio na mapenzi ya dhati na CCM, lazima mnamapepo. Tena mnaongozwa na mchungaji Rwakatale, kama mnabisha njooni glory city kwa baba Gody mfalme hapa Bugando Mwanza awaombee muone kama mapepo hayatawapagaa na kuwatoka wote.
Mi naamini mlio na mapenzi ya dhati na CCM, lazima mnamapepo. Tena mnaongozwa na mchungaji Rwakatale, kama mnabisha njooni glory city kwa baba Gody mfalme hapa Bugando Mwanza awaombee muone kama mapepo hayatawapagaa na kuwatoka wote.