Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri hoja zimewaishia wana matusiiii!Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM
Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia.
Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.