Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Jan 1, 2024 #1 Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 1, 2024 #2 Kumeshakucha
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Jan 1, 2024 #3 Ungeweka video,washuhudie wao wenyewe akisema'anaongoza CCM B... ' Naamini wewe siyo punguani,ulete taarifa pasipokua na kithibitisho,itakua ulisahau ku-upload video tu. Upload waione.
Ungeweka video,washuhudie wao wenyewe akisema'anaongoza CCM B... ' Naamini wewe siyo punguani,ulete taarifa pasipokua na kithibitisho,itakua ulisahau ku-upload video tu. Upload waione.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 1, 2024 #4 Mods piga ban huyu anamchafua Mwenyekiti
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Jan 1, 2024 #5 Wsmeuanza mwaka vibaya kwa kweli.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Jan 1, 2024 #6 Naunga Mkono hoja. Ile nyumbani ni ya gharama sana. === Chanzo cha habari? Alikuwa wapi na saa ngapi wakati anasema haya?
Naunga Mkono hoja. Ile nyumbani ni ya gharama sana. === Chanzo cha habari? Alikuwa wapi na saa ngapi wakati anasema haya?
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Jan 1, 2024 #7 Idugunde said: Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM. Click to expand... Uzuri hoja zimewaishia wana matusiiii!
Idugunde said: Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM. Click to expand... Uzuri hoja zimewaishia wana matusiiii!
R Road Traffic Signal JF-Expert Member Joined Mar 17, 2022 Posts 621 Reaction score 1,958 Jan 1, 2024 #8 Tuma salamu kwa watu watatu dada