wanachaguliwa na nani?

wanachaguliwa na nani?

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
5,730
Reaction score
11,576
Mwalimu alikuwa anafundisha kuhusu utawala ikawa hivi;
Mwalimu:diwani anachaguliwa na wananchi,Rais na wabunge wanachaguliwa na wananchi na....(ghafla wanafunzi wa upande wa nyuma wanaanza kuongea na kubishana)
Mwalimu🙁akiwa amekasirika)halafu humu darasani kuna watu wanajifanya MUCH KNOW.Dogo mmoja akasimama
Dogo:mwalimu naomba kujua hao MUCH KNOW wanachaguliwa na nani?
Hii ndio sababu ya Dogo kutembelea magongo.
 
Mkuu samahani kama nimekuuzi,ila unabidi ujue hili ni jukwaa la utani usitegemee kukuta mambo ya jamii intelijensi,halafu hakunajambo jipya mtandaoni mengi unayoyaona jf yametolewa mitandao mingine,mwisho kabisa mimi sio dogo
Wewe ni dogo na huna akili. JF sio mtandao kama mitandao mingine, hapa ni Home of Great Thinkers.

Sasa wewe unaleta utoto utoto wako wa kifesibuku kwa watu wazima wanaojielewa? Mbona unaweza kuleta mada za kueleweka na ukaonekana mjanja kuliko kupost upupu.

Umekuja hata mwezi huna unajidai una speed kuliko wakongwe uliowakuta.

Dogo jitathmini asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi Mkuu unajua hili ni jukwaa gani?
 
Shem kakuudhi nini mkuu,sipati picha hilo povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom