Mkuu samahani kama nimekuuzi,ila unabidi ujue mimi sio dogo na sipangiwi cha kufanya maana hakuna limit ya kupost threadsDogo acha ushamba hapa sio Facebook. Tafadhali kama una chain post basi angalau post vitu vya maana sio junk stuff.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni dogo na huna akili. JF sio mtandao kama mitandao mingine, hapa ni Home of Great Thinkers.Mkuu samahani kama nimekuuzi,ila unabidi ujue hili ni jukwaa la utani usitegemee kukuta mambo ya jamii intelijensi,halafu hakunajambo jipya mtandaoni mengi unayoyaona jf yametolewa mitandao mingine,mwisho kabisa mimi sio dogo
hivi Mkuu unajua hili ni jukwaa gani?Wewe ni dogo na huna akili. JF sio mtandao kama mitandao mingine, hapa ni Home of Great Thinkers.
Sasa wewe unaleta utoto utoto wako wa kifesibuku kwa watu wazima wanaojielewa? Mbona unaweza kuleta mada za kueleweka na ukaonekana mjanja kuliko kupost upupu.
Umekuja hata mwezi huna unajidai una speed kuliko wakongwe uliowakuta.
Dogo jitathmini asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu mkuu fb tenaDogo acha ushamba hapa sio Facebook. Tafadhali kama una chain post basi angalau post vitu vya maana sio junk stuff.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shem kakuudhi nini mkuu,sipati picha hilo povuWewe ni dogo na huna akili. JF sio mtandao kama mitandao mingine, hapa ni Home of Great Thinkers.
Sasa wewe unaleta utoto utoto wako wa kifesibuku kwa watu wazima wanaojielewa? Mbona unaweza kuleta mada za kueleweka na ukaonekana mjanja kuliko kupost upupu.
Umekuja hata mwezi huna unajidai una speed kuliko wakongwe uliowakuta.
Dogo jitathmini asee
Sent using Jamii Forums mobile app