Wanachama 260 CCM Jimbo la Mtama kuhamia ACT. Kuna Nini nyuma ya pazia?

Wanachama 260 CCM Jimbo la Mtama kuhamia ACT. Kuna Nini nyuma ya pazia?

Joan lewis

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
993
Reaction score
1,463
Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA.

Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni Mtama mkoa wa Lindi walihamia ACT.
Kwa wanaofahamu Jimbo la Mtama Mbunge aliyeko sio wa ACT au Chadema Bali CCM mtu aliyewahi kuwa katibu wa Chama CCM Taifa aliyeshuhulikia Itikadi na uenezi. Ukiacha nyadhifa kadhaa za uongozi serikalini.

Naomba kujua ikiwa hii imetokea by coincidence au Kuna kitu hakiko sawa.? Na kama Hali ni hii mpaka mwakani miezi hii Watahama Wana CCM wangapi kwenda ACT? Na katika Hali hiyo Mbunge bado atakuwa mwanachama wa Chama hiki ingali memba wanamuhama Kwa Idadi ya kutisha?
 
Zitto ana mambo ya kitoto sana na mama yake ambae ni mwenyekiti wa CCM Taifa!
 
ACT- Agizo la Chama Tawala hii ni Tanzu ya ccm sio mpinzani wala
Kama ivyo nafuu mana ingeleta ukakasi kufuatia Mbunge wa hapo Mtama kufutwa uwaziri. Ingekuwa yeye bado waziri akili zingeshulika kuwaza mengine.
 
Back
Top Bottom