GE2025 Wanachama ADC Zanzibar wavutiwa na Sera ya “Shibe Kwanza” ya Hamad Rashid

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanachama wa Chama Cha ADC Zanzibar wamefurahishwa na sera za Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar Hamad Rashid Mohammed kutoka na sera zake hasa ya sera ya Shibe Kwanza ambayo inewapa matumaini makubwa.

Wakizugumza baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wafuasi hao wamesema kushiba ni muhimu kwani ukishashiba utaweza kushughulika na mambo mengine.

Wamesema wana matumaini makubwa kwa Mgombea wao Hamad Rashid kutokana na sera na ahadi alizozitoa kwani zinatekelezeka bila shida kwa wananchi ikiwemo ya shibe kwanza.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…