Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Idadi ya wagombea uongozi wa CCM eneo hilo ni kubwa mno ukilinganisha na idadi kidunchu sana ya wapinzani waliojitokeza kujiandikisha dah.
wengi walipuuza na kususia zoezi hilo kiaina.
kwa hakika CCM imejipanga sana kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria π