Wanachama na mashabiki wa Simba na Yanga wanataka ushindi tu uwanjani hayo mengine hayawahusu

Wanachama na mashabiki wa Simba na Yanga wanataka ushindi tu uwanjani hayo mengine hayawahusu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Sisi tunataka kusikia Messi kasajiliwa Msimbazi au kule matopeni tumwagilie moyo wetu basi, hata kama kukawa na upigaji sisi hilo halituhusu, sisi lete wachezaji wakali wapasie nyavu tutukanane na kuchambana basi ila kiukweli serikali imepata hasara sana kutusomesha, hivi vizazi ambavyo havina uwezo wa kuhoji na kuchukulia mambo poa t, kweli wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Serikali kama inahitaji timu ya taifa ifanye vizuri basi waanzishe timu ambayo itasajili wachezaji wa ndani tu wanaeza kuipa jina hata la nyerere
 
Back
Top Bottom