Sisi tunataka kusikia Messi kasajiliwa Msimbazi au kule matopeni tumwagilie moyo wetu basi, hata kama kukawa na upigaji sisi hilo halituhusu, sisi lete wachezaji wakali wapasie nyavu tutukanane na kuchambana basi ila kiukweli serikali imepata hasara sana kutusomesha, hivi vizazi ambavyo havina uwezo wa kuhoji na kuchukulia mambo poa t, kweli wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa.