Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
CHADEMA inapoelekea kwenye uchaguzi wake ngazi ya Taifa, ni muhimu sana kusikiliza kwa makini, kuzingatia, kuyashika na kuyafuata mawaidha na nasaha za mzee Azaveli Lwaitama kuhusu demokrasia ya uchaguzi wa kihistoria ndani ya chama chenu.
Ni muhimu sana, ushauri wa mzee Azaveli Lwaitama utawatuliza na utasaidia sana na kuwaweka pamoja kama familia ya wanachadema wamoja 🐒
Ni muhimu sana, ushauri wa mzee Azaveli Lwaitama utawatuliza na utasaidia sana na kuwaweka pamoja kama familia ya wanachadema wamoja 🐒