Wanachama wa Chadema nawaalika Ibadan Azania Front jioni ya Leo Somo Marko 16:12 " Yesu akawatokea akiwa na Sura nyingine"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ninachukua Fursa hii Kwa Moyo mkunjufu kabisa kuwakaribisha Ibadan Wafuasi wa Chadema ambao Jana mmepata Uongozi mpya

Ibada itakuwa saa 11 kamili jioni na Somo litatoka katika Injili ya Marko 16:12

" Basi Yesu akawatokea Watu Wawili miongoni mwao akiwa na Sura nyingine"

Karibu sana mpate kupona

Ahsanteni 🌹
 
Unywaji wa pombe chafu tena mchana wa jua kali umekutoa akili kabisa
 
Back
Top Bottom