Uchaguzi 2020 Wanachama wa chama cha CCM jimbo la Kaliua wajiunga cha CUF

Uchaguzi 2020 Wanachama wa chama cha CCM jimbo la Kaliua wajiunga cha CUF

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200828-194559.png


WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALIUA WAJIUNGA NA CHAMA CHA CUF

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, mhe. Magdalena Sakaya amewakabidhi kadi za CUF wanachama wapya waliotoka chama cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Kaliua.

KALIUA TUNAJAMBO LETU CUF
 
Wamejiunga na CUF kwa kuipenda yenyewe na sera zake au ni hasira za kukatwa kwa Prof Kapuya kwenye kura za maoni za CCM? Kama ni kuonyesha hasira bora wangefanya hivyo kwenye sanduku la kura ndio ingeeleweka na kuoiga kelele zaidi.

Sakaya asijidanganye kwa hayo mavazi na bendera alizowapa. Kwenye chaguzi hao hawana tofauti na WAJUMBE
 
Back
Top Bottom