Wamejiunga na CUF kwa kuipenda yenyewe na sera zake au ni hasira za kukatwa kwa Prof Kapuya kwenye kura za maoni za CCM? Kama ni kuonyesha hasira bora wangefanya hivyo kwenye sanduku la kura ndio ingeeleweka na kuoiga kelele zaidi.
Sakaya asijidanganye kwa hayo mavazi na bendera alizowapa. Kwenye chaguzi hao hawana tofauti na WAJUMBE