Mxiewwwwwwww nataman kingekosekana nione maandamano yako poooh dawa zimekuingiaaa mwali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yan angekosekana jina la mme wangu Mshana nisingekubali
Andaa tume ya uchaguziNatoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza Rais awe Paskal mayalla, makamu awe mshana Jr, endeleeni
hahahaWaziri wa Afya jinsia na watoto angekuwa Maserati
Waziri wa ulinzi angekuwa Mshana Jr
Waziri wa Michezo angekuwa @FORTULEZA
Waziri wa nyumba na ,kazi angekuwa Maxence Melo
Waziri wa Maliasili na Utalii angekuwa Malcom LUMBUMA
Wazziri wa Kilimo angekuwa JamiiForums
Spika wa bunge angekuwa FaizaFoxy
[emoji23][emoji28][emoji23]
Hhahahaaaaa
Ahsante kwa kutambua uwepo wangu humu
Usijali katibu mweneziSiku ya kampeni ikifika we uniiite.
Ushindi asubuhi na mapemaHahahah
No worry
Ungetutajia ID yake ili tuewze kumchagua ndio ingependeza zaidiG anafaa kuwa raisi
UmemgandaG anafaa kuwa raisi