Wanachama wa NCCR waliohamia CDM waanzilishi wa fujo & matengano CDM

Subiri dawa ikuingie. Na bado. BAVICHA wamechukuwa timu Lissu. Mbowe atagaragazwa na nguvu ya umma pamoja na nyie mashabiki wake. Hivi hamuoni kuwa Mbowe kachokwa mpaka basi? Mpeni ushauri wa manufaa na siyo kumwangamiza.
Kwani ni vita wanapigana?.mnalazimisha siasa ziwe kama ugomvi.wajumbe wataamua kwenye kura na maisha yataendelea.Mbowe na lissu wote waliwai kugombea urais na hawakushinda na hakukua na cha ajabu.ata sasa hakuna cha ajabu chochote kitakachotokea yoyote akishinda zaidi ya porojo mitandaoni na baada ya wiki mbili zimesahaulika.
 
Nyumbu wa Mbowe ndiyo wanatamani ugomvi utokee ambayo ni matamanio makubwa ya CCM halafu tukisema Mbowe kaingizwa kwenye payroll ya CCM kuna Nyumbu wanabisha.
 
Kwani ni vita wanapigana?.mnalazimisha siasa ziwe kama ugomvi.wajumbe wataamua kwenye kura na maisha yataendelea.Mbowe na lissu wote waliwai kugombea urais na hawakushinda na hakukua na cha ajabu.ata sasa hakuna cha ajabu chochote kitakachotokea yoyote akishinda zaidi ya porojo mitandaoni na baada ya wiki mbili zimesahaulika.
Uongozi uliojaa rushwa unaondoka, hilo ndilo muhimu. Haya mengine ni mahangaiko yako tu, na ndiyo maana umemaliza shule bila kujua kuandika maneno ya kiswahili kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom