Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
"NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni.

Screenshot 2024-07-02 125358.png

"Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na wategemezi wao waliofikisha umri wa miaka 18 ambao wamewasilisha namba zao NHIF kwaajii ya kuunganisha na taaifa zao.

"Utaratibu huu utaanza 1 Julai 2024 katika vituo zaidi ya 9,000 vya matibabu nchini. Huna haja ya kubeba kitambulisho, tumia namba kupata huduma"

===

Pia soma:
 
Jambo jema naona mifumo imeanza kusomana sasa.

Ila suala la mtumishi wa umma kumalazimisha wanufaika wawe ndugu wa damu tu au mke na mume,mnakosea sana,ambao hatuna ndoa watoto wala wazazi ila tuna ndugu walio tulea na kutusomesha manataka tusiwaunge na hela mnakata kila mwezi.
 
SIJUI NI HUDUMA GANAI MNATANGAZA WAKATI DAWA ,GHARAMA ZA KUMUONA DAKTARI MMEZIPUNGUZA KWA 50% HIVI.HOSPITALI BINAFSI NI SHIDA SANA .KWA GHARAMA HIZI HAZIWEZI KUMUDU HUDUMA BORA KWA WATEJA WAO
Hawa ni wapuuzi jazi band! Swaini wakubwa!
 
Jambo jema naona mifumo imeanza kusomana sasa.

Ila suala la mtumishi wa umma kumalazimisha wanufaika wawe ndugu wa damu tu au mke na mume,mnakosea sana,ambao hatuna ndoa watoto wala wazazi ila tuna ndugu walio tulea na kutusomesha manataka tusiwaunge na hela mnakata kila mwezi.
Wezi wakubwa sana! Waambie ukweli Hawa machawa na majizi makubwa!
 
Back
Top Bottom