Wanachama wa TANU na ASP waliopinga kuundwa kwa CCM

Wanachama wa TANU na ASP waliopinga kuundwa kwa CCM

Thinker II

Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
65
Reaction score
12
UKAWA msikatishwe tamaa na hao wapinga umoja,kisa uchu wa madaraka. Wanaojitoa ndani ya UKAWA, wao siyo wa kwanza kwani hata hayati baba wa Taifa, alishuhudia wanaTANU na wanaASP wasiopenda mabadiliko, waliendelea kunyanyua mabango yaliyoandikwa "HATUITAKI CCM". Lakini baadae waliona maamuzi ya viongozi wa TANU na ASP yalikuwa na nia njema kwa watanzania wote.

Viongozi wa CHADEMA, NLD, NCCR na CUF, msikatishwe tamaa na hao wachache. Waangalieni waasisi wa vyama vya TANU na ASP,na mjifunze toka kwao. Mbatia usigeuke nyuma Kwan UKAWA ndio sauti ya watanzania.
 
Back
Top Bottom